Mwana wa Mnyonge
Dar es Salaam
Hivi karibuni mashabiki wa soka la Tanzania wameshindwa kukata kiu zao za kuutazama mtananga wa soka baina ya Simba na Yanga zote za Dar es Salaam Katika Viwanja vya Benjamin Mkapa, sakata hili ni jambo la kuchekesha na hilo limeleta kizungumkuti kwa mashabiki wa soka la Tanzania wakikumbuka enzi za mpira kuuweka kwapani, huku mashabiki wengi wakiamini kuwa kama mambo ni hayo Tanzania inarudi nyuma kabisa kimichezo
Mwanakweti ilizungumza na Daud Yohane ambaye ni mchambuzi wa michezo na nayeye akikubalina na hilo la soka la Tanzania linarudi nyumab hatua mia.
Haya ni yake Daudi Je wewe mdau wa michezo una maoni gani?
Tuma maoni yako kupitia anuani hii
mwanakwetu sports @gmail.com/ 0755297975
Post a Comment